Deuteronomy 11:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fikirini kwa makini, kwa sababu ya watoto wenu ambao hawakujua wala hawakuona adhabu ya Mwenyezi-Mungu, uwezo wake na nguvu zake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumbuka hivi leo kwamba sio watoto wako walioona na kujua adhabu ya Mwenyezi Mungu, Mungu wako: utukufu wake, mkono wake wenye nguvu, mkono wake ulionyooshwa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi leo jueni; kwa kuwa sisemi sasa na vijana vyenu, ambao hawakujua, wala hawakuona adhabu ya Bwana, Mungu wenu, ukuu wake, na mkono wake wa nguvu, na mkono wake ulionyoka,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fikirini kwa makini, kwa sababu ya watoto wenu ambao hawakujua wala hawakuona adhabu ya Mwenyezi-Mungu, uwezo wake na nguvu zake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumbuka hivi leo kwamba sio watoto wako walioona na kujua marudi ya BWANA Mungu wako: utukufu wake, mkono wake wenye nguvu, mkono wake ulionyooshwa;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumbuka hivi leo kwamba sio watoto wako walioona na kujua adhabu ya bwana Mwenyezi Mungu wako: utukufu wake, mkono wake wenye nguvu, mkono wake ulionyooshwa;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi leo jueni; kwa kuwa sisemi sasa na watoto wenu, ambao hawakujua, wala hawakuona adhabu ya BWANA, Mungu wenu, ukuu wake, na mkono wake wa nguvu, na mkono wake ulionyooka,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fikirini kwa makini, kwa sababu ya watoto wenu ambao hawakujua wala hawakuona adhabu ya Mwenyezi-Mungu, uwezo wake na nguvu zake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mtakapomtambua na leo; kwani sisemi na wana wenu, maana hawayajui, wala hawakuyaona mapatilizo ya Bwana Mungu wenu na matendo yake makuu na nguvu za kiganja chake na uwezo wa mkono wake, alipoukunjua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi leo jueni; kwa kuwa sisemi sasa na vijana vyenu, ambao hawakujua, wala hawakuona adhabu ya BWANA, Mungu wenu, ukuu wake, na mkono wake wa nguvu, na mkono wake ulionyoka,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufikiri kwa uangalifu, kwa sababu ya watoto wenu ambao hawakujua wala hawakuona azabu ya Yawe, uwezo wake na nguvu zake,