Deuteronomy 11:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ziandikeni katika vizingiti vya nyumba zenu, na katika malango yenu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yaandikeni juu ya miimo ya nyumba zenu na juu ya malango yenu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena yaandike juu ya miimo ya nyumba yako, na juu ya malango yako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ziandikeni katika vizingiti vya nyumba zenu, na katika malango yenu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yaandikeni juu ya miimo ya nyumba zenu na juu ya malango yenu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yaandikeni juu ya miimo ya nyumba zenu na juu ya malango yenu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena yaandike juu ya miimo ya nyumba yako, na juu ya malango yako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ziandikeni katika vizingiti vya nyumba zenu, na katika malango yenu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaandike vizingitini namo milangoni nyumbani mwako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena yaandike juu ya miimo ya nyumba yako, na juu ya malango yako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muyaandike kwenye miimo ya milango yenu na milango ya miji yenu,