Deuteronomy 11:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili nyinyi na watoto wenu mpate kuishi maisha marefu katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliapa kuwapa babu zenu, siku zote mbingu zitakapodumu juu ya dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili siku zenu na siku za watoto wenu zipate kuwa nyingi katika nchi ile Mwenyezi Mungu aliyoapa kuwapa baba zenu, kama zilivyo nyingi siku za mbingu juu ya nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili siku zenu zifanywe nyingi, na za vijana vyenu nao, juu ya nchi Bwana aliyowaapia baba zenu kuwa atawapa, kama zilivyo siku za mbingu juu ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili nyinyi na watoto wenu mpate kuishi maisha marefu katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliapa kuwapa babu zenu, siku zote mbingu zitakapodumu juu ya dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kwamba siku zenu na siku za watoto wenu zipate kuwa nyingi katika nchi ile BWANA aliyoapa kuwapa baba zenu, kama zilivyo nyingi siku za mbingu juu ya nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kwamba siku zenu na siku za watoto wenu zipate kuwa nyingi katika nchi ile bwana aliyoapa kuwapa baba zenu, kama zilivyo nyingi siku za mbingu juu ya nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili siku zenu zifanywe nyingi, na za vijana wenu nao, juu ya nchi BWANA aliyowaapia baba zenu kuwa atawapa, kama zilivyo siku za mbingu juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili nyinyi na watoto wenu mpate kuishi maisha marefu katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliapa kuwapa babu zenu, siku zote mbingu zitakapodumu juu ya dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, siku zenu nazo siku za wana wenu zitakapokuwa nyingi katika hiyo nchi, Bwana Mungu wenu aliyowaapia baba zenu kuwapa, iwe yao siku zote, mbingu zitakazokuwa juu ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili siku zenu zifanywe nyingi, na za vijana vyenu nao, juu ya nchi BWANA aliyowaapia baba zenu kuwa atawapa, kama zilivyo siku za mbingu juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi ninyi na watoto wenu mupate kuishi maisha marefu katika inchi ambayo Yawe, Mungu wenu, aliapa kuwapa babu zenu, siku zote mbingu zitakapodumu juu ya dunia.