Deuteronomy 11:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi Mwenyezi-Mungu atayafukuza mataifa yote hayo mbele yenu, nanyi mtamiliki nchi iliyo mali ya mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko nyinyi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ndipo Mwenyezi Mungu atawafukuza mataifa haya yote mbele yako, nawe utawafukuza mataifa yaliyo makubwa na yenye nguvu kuliko wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo Bwana atakapowafukuza mataifa haya yote mbele yenu, nanyi mtamiliki mataifa makubwa yenye nguvu kuwapita ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi Mwenyezi-Mungu atayafukuza mataifa yote hayo mbele yenu, nanyi mtamiliki nchi iliyo mali ya mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko nyinyi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndipo BWANA atawafukuza mataifa haya yote mbele yako, nawe utawafukuza mataifa yaliyo makubwa na yenye nguvu kuliko wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndipo bwana atawafukuza mataifa haya yote mbele yako, nawe utawafukuza mataifa yaliyo makubwa na yenye nguvu kukuliko wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo BWANA atakapowafukuza mataifa haya yote mbele yenu, nanyi mtamiliki mataifa makubwa yenye nguvu kuliko ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi Mwenyezi-Mungu atayafukuza mataifa yote hayo mbele yenu, nanyi mtamiliki nchi iliyo mali ya mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko nyinyi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, Bwana atakapoyafukuza hayo mataifa yote mbele yenu, mchukue nchi za mataifa walio wengi na wenye nguvu kuliko ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo BWANA atakapowafukuza mataifa haya yote mbele yenu, nanyi mtamiliki mataifa makubwa yenye nguvu kuwapita ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi Yawe atafukuza mataifa yote hayo mbele yenu, nanyi mutarizi inchi inayokuwa mali ya mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko ninyi.