Deuteronomy 11:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baraka, kama mtatii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo nawapeni hivi leo;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
baraka kama mtatii maagizo ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ninayowapa leo;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
baraka ni hapo mtakapoyasikiza maagizo ya Bwana, Mungu wenu, niwaagizayo leo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
baraka, kama mtatii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo nawapeni hivi leo;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
baraka kama mtatii maagizo ya BWANA Mungu wenu, ambayo ninawapa leo;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
baraka kama mtatii maagizo ya bwana Mwenyezi Mungu wenu, ambayo ninawapa leo;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
baraka ni hapo mtakapoyafuata maagizo ya BWANA, Mungu wenu, niwaagizayo leo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baraka, kama mtatii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo nawapeni hivi leo;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mbaraka mtaipata mtakapoyasikia maagizo ya Bwana Mungu wenu, mimi ninayowaagiza leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
baraka ni hapo mtakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, niwaagizayo leo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
baraka, kama mutatii amri za Yawe, Mungu wenu, ambazo ninawapa hivi leo;