Deuteronomy 11:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na laana, kama hamtazitii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuiacha njia ninayowaamuru, mkaabudu miungu mingine ambayo hata hamjawahi kuijua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
laana kama hamtatii maagizo ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na kuacha njia ninayowaamuru leo kwa kufuata miungu mingine, ambayo hamkuijua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na laana ni hapo msiposikiza maagizo ya Bwana, Mungu wenu, mkikengeuka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine msiyoijua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na laana, kama hamtazitii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuiacha njia ninayowaamuru, mkaabudu miungu mingine ambayo hata hamjawahi kuijua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
laana kama hamtatii maagizo ya BWANA Mungu wenu na kuacha njia ambayo ninawaamuru leo kwa kufuata miungu mingine, ambayo hamkuijua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
laana kama hamtatii maagizo ya bwana Mwenyezi Mungu wenu na kuacha njia ambayo ninawaamuru leo kwa kufuata miungu mingine, ambayo hamkuijua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na laana ni hapo msipotii maagizo ya BWANA, Mungu wenu, mkapotoka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine msiyoijua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na laana, kama hamtazitii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuiacha njia ninayowaamuru, mkaabudu miungu mingine ambayo hata hamjawahi kuijua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kiapizo kitawapata, msipoyasikia maagizo ya Bwana Mungu wenu, mwondoke katika njia hiyo, mimi ninayowaagiza leo, mkafuata miungu mingine, msiyoijua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na laana ni hapo msiposikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, mkikengeuka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine msiyoijua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na laana, kama hamutatii amri za Yawe, Mungu wenu, na kuacha njia ninayowaamuru, mukiabudu miungu mingine ambayo hata hamujajua bado.