Deuteronomy 11:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ishara zake na maajabu yake aliyoyatenda kule Misri kwa Farao mfalme wa Misri na nchi yake yote;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ishara alizozifanya na mambo aliyoyafanya katikati ya Misri, kwa Farao mfalme wa Misri na kwa nchi yake yote;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ishara zake, na kazi zake alizomfanya Farao mfalme wa Misri, na nchi yake yote, katikati ya Misri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ishara zake na maajabu yake aliyoyatenda kule Misri kwa Farao mfalme wa Misri na nchi yake yote;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ishara alizozifanya na mambo aliyoyafanya katikati ya Misri, kwa Farao mfalme wa Misri na kwa nchi yake yote;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ishara alizozifanya na mambo aliyoyafanya katikati ya Misri, kwa Farao mfalme wa Misri na kwa nchi yake yote;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ishara zake, na kazi zake alizomfanya Farao mfalme wa Misri, na nchi yake yote, katikati ya Misri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ishara zake na maajabu yake aliyoyatenda kule Misri kwa Farao mfalme wa Misri na nchi yake yote;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na vielekezo vyake na matendo yake yote, aliyomfanyizia Farao, mfalme wa Misri, nao wenyeji wa nchi yake kule kwao Misri,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ishara zake, na kazi zake alizomfanya Farao mfalme wa Misri, na nchi yake yote, katikati ya Misri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
vitambulisho vyake na maajabu yake aliyotenda kule Misri kwa mufalme wa Misri na inchi yake yote,