Deuteronomy 11:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Milima hii iko ngambo ya mto Yordani, magharibi ya barabara kuelekea machweo ya jua, katika nchi ya Wakanaani waishio Araba mkabala wa Gilgali).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mnavyofahamu, milima hii ipo ng’ambo ya Yordani, magharibi mwa barabara, kuelekea machweo ya jua, karibu na mialoni ya More, katika nchi ya wale Wakanaani wanaoishi Araba, jirani na Gilgali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Haiwi ng'ambo ya Yordani? Nyuma ya njia ya machweo ya jua, katika nchi ya Wakanaani waketio katika Araba kuelekea Gilgali, kando ya hiyo mialoni ya More?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Milima hii iko ng'ambo ya mto Yordani, magharibi ya barabara kuelekea machweo ya jua, katika nchi ya Wakanaani waishio Araba mkabala wa Gilgali).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mnavyofahamu, milima hii ipo ng'ambo ya Yordani, magharibi ya barabara, kuelekea machweo ya jua, karibu na miti mikubwa ya More, katika nchi ya wale Wakanaani wanaoishi Araba, jirani na Gilgali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mnavyofahamu, milima hii ipo ng’ambo ya Yordani, magharibi ya barabara, kuelekea machweo ya jua, karibu na miti mikubwa ya More, katika nchi ya wale Wakanaani wanaoishi Araba, jirani na Gilgali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Haiwi ng'ambo ya Yordani? Nyuma ya njia ya machweo ya jua, katika nchi ya Wakanaani waishio katika Araba kuelekea Gilgali, kando ya hiyo mialoni ya More?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Milima hii iko ngambo ya mto Yordani, magharibi ya barabara kuelekea machweo ya jua, katika nchi ya Wakanaani waishio Araba mkabala wa Gilgali).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Milima hii iko ng'ambo ya huko ya Yordani nyuma ya njia inayokwenda machweoni kwa jua katika nchi ya Wakanaani wanaokaa katika nyika inayoelekea Gilgali, ni huko kando ya kimwitu cha More.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Haiwi ng’ambo ya Yordani? Nyuma ya njia ya machweo ya jua, katika nchi ya Wakanaani waketio katika Araba kuelekea Gilgali, kando ya hiyo mialoni ya More?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Milima hii iko ngambo ya muto Yordani, upande wa magaribi wa barabara kuelekea upande jua linakotokea, katika inchi ya Wakanana wanaoishi Araba kuelekea Gilgali.)