Deuteronomy 11:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Itawabidi kuvuka mto Yordani mwingie kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni. Basi, mtakapoimiliki na kukaa humo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Karibu mvuke ng’ambo ya Yordani kuingia na kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa. Mtakapokuwa mmeimiliki na mnaishi humo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani ninyi mtavuka Yordani mwingie kuimiliki nchi awapayo Bwana, Mungu wenu, nanyi muimiliki na kuketi humo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Itawabidi kuvuka mto Yordani mwingie kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni. Basi, mtakapoimiliki na kukaa humo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Karibu mvuke ng'ambo ya Yordani kuingia na kuimiliki nchi ambayo BWANA Mungu wenu anawapa. Wakati mtakapokuwa mmeichukua na mnaishi humo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Karibu mvuke ng’ambo ya Yordani kuingia na kuimiliki nchi ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa. Wakati mtakapokuwa mmeichukua na mnaishi humo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani ninyi mtavuka Yordani mwingie kuimiliki nchi awapayo BWANA, Mungu wenu, nanyi muimiliki na kuketi humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Itawabidi kuvuka mto Yordani mwingie kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni. Basi, mtakapoimiliki na kukaa humo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ninyi mtauvukia Yordani kuichukua hiyo nchi, iwe yenu, Bwana Mungu wenu atakayowapa, nanyi mtaichukua, iwe yenu kweli, kisha mtaikaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani ninyi mtavuka Yordani mwingie kuimiliki nchi awapayo BWANA, Mungu wenu, nanyi muimiliki na kuketi humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana mutavuka muto Yordani muingie kwa kurizi inchi ambayo Yawe, Mungu wenu, anawapa. Basi mutakapoirizi na kukaa humo,