Deuteronomy 11:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
muwe waangalifu kutimiza masharti yote na maagizo ninayowapa leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hakikisheni kwamba mnatii amri na sheria zote ninazoziweka mbele yenu leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi angalieni mzifanye amri na hukumu zote niwawekeazo leo mbele yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
muwe waangalifu kutimiza masharti yote na maagizo ninayowapa leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hakikisheni kwamba mnatii amri na sheria zote ninazoziweka mbele yenu leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hakikisheni kwamba mnatii amri na sheria zote ninazoziweka mbele yenu leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi angalieni mzifanye amri na hukumu zote niwawekeazo leo mbele yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
muwe waangalifu kutimiza masharti yote na maagizo ninayowapa leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo angalieni, myafanye haya maongozi na maamuzi yote, mimi ninayoyaweka leo mbele yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi angalieni mzifanye amri na hukumu zote niwawekeazo leo mbele yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
muangalie kwamba munatimiza masharti yote na maagizo ambayo ninawapa leo.