Deuteronomy 11:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliyoyatendea majeshi ya Misri, farasi wao na magari yao ya vita, jinsi alivyozamisha jeshi hilo katika bahari ya Shamu, na jinsi Mwenyezi-Mungu alivyoliangamiza hata hivi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lile alilolifanyia jeshi la Wamisri, farasi na magari yake ya vita, jinsi alivyowafurikisha na maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwafuatilia ninyi, na jinsi Mwenyezi Mungu alivyowaletea angamizi la kudumu juu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na alivyolifanya jeshi la Misri, farasi zao, na magari yao; na alivyowafunikiza maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwaandamia, na alivyowaangamiza Bwana hata hivi leo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliyoyatendea majeshi ya Misri, farasi wao na magari yao ya vita, jinsi alivyozamisha jeshi hilo katika bahari ya Shamu, na jinsi Mwenyezi-Mungu alivyoliangamiza hata hivi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lile alilolifanyia jeshi la Wamisri, farasi na magari yake, jinsi alivyowafurikisha na maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwafuatilia ninyi na jinsi BWANA alivyowaletea angamizo la kudumu juu yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lile alilolifanyia jeshi la Wamisri, farasi na magari yake, jinsi alivyowafurikisha na maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwafuatilia ninyi, na jinsi bwana alivyowaletea angamizo la kudumu juu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na alivyolifanya jeshi la Misri, farasi wao, na magari yao; na alivyowafunika kwa maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwaandama, na alivyowaangamiza BWANA hata hivi leo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliyoyatendea majeshi ya Misri, farasi wao na magari yao ya vita, jinsi alivyozamisha jeshi hilo katika bahari ya Shamu, na jinsi Mwenyezi-Mungu alivyoliangamiza hata hivi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo aliyovifanyia vikosi vya Farao na farasi wake na magari yake, aliowafurikishia maji ya Bahari Nyekundu ya kuwatosa, walipokimbia, wawafikilie ninyi, Bwana akawaangamiza, wasionekane tena hata leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na alivyolifanya jeshi la Misri, farasi zao, na magari yao; na alivyowafunikiza maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwaandamia, na alivyowaangamiza BWANA hata hivi leo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
aliyotendea jeshi la Misri, farasi wao na magari yao ya vita, jinsi alivyozamisha jeshi hilo katika bahari Nyekundu, na jinsi Yawe alivyoliangamiza hata hivi leo.