Deuteronomy 11:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia kumbukeni aliyowafanyieni Mwenyezi-Mungu jangwani kabla hamjafika hapa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sio watoto wenu walioyaona yale Mungu aliyowafanyia huko jangwani hadi mkafika mahali hapa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mambo aliyowafanyia ninyi barani, hata mkaja mahali hapa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia kumbukeni aliyowafanyieni Mwenyezi-Mungu jangwani kabla hamjafika hapa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haikuwa ni watoto wenu walioona lile Mungu alilowafanyia huko jangwani mpaka mkafika mahali hapa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sio watoto wenu walioyaona yale Mungu aliyowafanyia huko jangwani mpaka mkafika mahali hapa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mambo aliyowafanyia ninyi nyikani, hadi mkafika mahali hapa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia kumbukeni aliyowafanyieni Mwenyezi-Mungu jangwani kabla hamjafika hapa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawakuyaona nayo, aliyowafanyia ninyi nyikani, mpaka mfike mahali hapa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mambo aliyowafanyia ninyi barani, hata mkaja mahali hapa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukumbuke jinsi Yawe aliyowafanyia ninyi katika jangwa mbele hamujafika hapa,