Deuteronomy 11:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana macho yenu yameona matendo yote haya makubwa ambayo Mwenyezi-Mungu aliyafanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali ni macho yenu wenyewe yaliyoyaona mambo haya yote makuu Mwenyezi Mungu aliyoyatenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini macho yenu yameiona kazi kubwa ya Bwana aliyoifanya, yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana macho yenu yameona matendo yote haya makubwa ambayo Mwenyezi-Mungu aliyafanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali ilikuwa ni macho yenu wenyewe ambayo yaliona mambo haya yote makuu BWANA aliyoyatenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali ilikuwa ni macho yenu wenyewe ambayo yaliyaona mambo haya yote makuu bwana aliyoyatenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini macho yenu yameiona kazi kubwa ya BWANA aliyoifanya, yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana macho yenu yameona matendo yote haya makubwa ambayo Mwenyezi-Mungu aliyafanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila ninasema nanyi, kwani macho yenu ndiyo yaliyoyaona hayo matendo makuu yote, Bwana aliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini macho yenu yameiona kazi kubwa ya BWANA aliyoifanya, yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana macho yenu yameona matendo yote haya makubwa ambayo Yawe alifanya.