Deuteronomy 11:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mpate kuishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo inayotiririka maziwa na asali; nchi ambayo Mwenyezi-Mungu aliahidi kuwapa babu zenu na wazawa wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili mpate kuishi siku nyingi katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu aliapa kuwapa baba zenu na wazao wao, nchi inayotiririka maziwa na asali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nanyi mpate kuzifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi Bwana aliyowaapia baba zenu, ya kuwa atawapa wao na kizazi chao, nchi imiminikayo maziwa na asali
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mpate kuishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo inayotiririka maziwa na asali; nchi ambayo Mwenyezi-Mungu aliahidi kuwapa babu zenu na wazawa wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili mpate kuishi siku nyingi katika nchi ile ambayo BWANA aliapa kuwapa baba zenu na wazao wao, nchi itiririkayo maziwa na asali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili mpate kuishi siku nyingi katika nchi ile ambayo bwana aliapa kuwapa baba zenu na wazao wao, nchi itiririkayo maziwa na asali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nanyi mpate kuzifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi BWANA aliyowaapia baba zenu, ya kuwa atawapa wao na kizazi chao, nchi imiminikayo maziwa na asali
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mpate kuishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo inayotiririka maziwa na asali; nchi ambayo Mwenyezi-Mungu aliahidi kuwapa babu zenu na wazawa wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nanyi siku zenu zipate kuwa nyingi katika nchi hiyo, Bwana aliyowaapia baba zenu kuwapa wao nao wa uzao wao, hiyo nchi ichuruzikayo maziwa na asali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nanyi mpate kuzifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi BWANA aliyowaapia baba zenu, ya kuwa atawapa wao na kizazi chao, nchi imiminikayo maziwa na asali
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mupate kuishi kwa muda murefu katika inchi inayotiririka maziwa na asali, inchi ambayo Yawe aliahidi kuwapa babu zenu na wazao wao.