Deuteronomy 12:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Yafuatayo ni masharti na maagizo ambayo mtayatimiza katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu, amewapa muimiliki, siku zote za maisha yenu nchini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizi ndizo amri na sheria ambazo ni lazima mwe waangalifu kuzifuata katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zenu, amewapa kumiliki, kwa muda wote mtakaoishi katika nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi ndizo amri na hukumu mtakazotunza kuzifanya katika nchi aliyokupa Bwana, Mungu wa baba zako, uimiliki, siku zote mtakazoishi juu ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Yafuatayo ni masharti na maagizo ambayo mtayatimiza katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu, amewapa muimiliki, siku zote za maisha yenu nchini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ndizo amri na sheria ambazo ni lazima mwe waangalifu kuzifuata katika nchi ambayo BWANA, Mungu wa baba zenu, amewapa kumiliki, kwa muda wote mtakaoishi katika nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo amri na sheria ambazo ni lazima mwe waangalifu kuzifuata katika nchi ambayo bwana, Mungu wa baba zenu, amewapa kumiliki, kwa muda wote mtakaoishi katika nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hizi ndizo amri na hukumu mtakazozifuata kuzifanya katika nchi aliyokupa BWANA, Mungu wa baba zako, uimiliki, siku zote mtakazoishi juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Yafuatayo ni masharti na maagizo ambayo mtayatimiza katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu, amewapa muimiliki, siku zote za maisha yenu nchini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maongozi na maamuzi, mtakayoyaangalia, myafanye katika hiyo nchi, Bwana Mungu wa baba zako atakayokupa, uichukue, iwe yako siku zote, mtakazoishi huku nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi ndizo amri na hukumu mtakazotunza kuzifanya katika nchi aliyokupa BWANA, Mungu wa baba zako, uimiliki, siku zote mtakazoishi juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Haya ndiyo masharti na maagizo ambayo mutatimiza katika inchi ambayo Yawe, Mungu wa babu zenu amewapa kwa kuirizi, siku zote za kuishi kwenu juu ya inchi.