Deuteronomy 12:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jihadharini msitoe sadaka zenu za kuteketezwa mahali popote mnapopaona;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuweni waangalifu, msitoe dhabihu zenu za kuteketezwa mahali popote mnapopapenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ujihadhari usitoe sadaka zako za kuteketezwa katika kila mahali upaonapo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jihadharini msitoe sadaka zenu za kuteketezwa mahali popote mnapopaona;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Iweni waangalifu, msitoe dhabihu zenu za kuteketezwa mahali po pote mnapopapenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuweni waangalifu, msitoe dhabihu zenu za kuteketezwa mahali popote mnapopapenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ujihadhari usitoe sadaka zako za kuteketezwa katika kila mahali upaonapo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jihadharini msitoe sadaka zenu za kuteketezwa mahali popote mnapopaona;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jiangalie, usitoe ng'ombe zako za tambiko za kuteketezwa nzima mahali po pote, utakapopaona!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ujihadhari usitoe sadaka zako za kuteketezwa katika kila mahali upaonapo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufanye angalisho musitoe sadaka zenu za kuteketezwa pahali popote munapoona;