Deuteronomy 12:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
bali katika mahali atakapopachagua Mwenyezi-Mungu katika mojawapo ya makabila yenu. Hapo ndipo mtakapotoa sadaka zenu za kuteketezwa, na ndipo mtakapofanyia mambo yote niliyowaamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtazitoa tu mahali atakapopachagua Mwenyezi Mungu katika mojawapo ya makabila yenu, nanyi hapo zingatieni kila jambo ninalowaamuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali katika mahali atakapopachagua Bwana katika kabila zako mojawapo, ndipo utakapotoa sadaka zako za kuteketezwa, ndipo utakapotenda yote nikuamuruyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
bali katika mahali atakapopachagua Mwenyezi-Mungu katika mojawapo ya makabila yenu. Hapo ndipo mtakapotoa sadaka zenu za kuteketezwa, na ndipo mtakapofanyia mambo yote niliyowaamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtazitoa tu mahali pale ambapo BWANA atachagua katika mojawapo ya makabila yenu, nanyi hapo zingatieni kila jambo ninalowaamuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtazitoa tu mahali pale ambapo bwana atachagua katika mojawapo ya makabila yenu, nanyi hapo zingatieni kila jambo ninalowaamuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali katika mahali atakapopachagua BWANA katika kabila zako mojawapo, ndipo utakapotoa sadaka zako za kuteketezwa, ndipo utakapotenda yote ninayokuamuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
bali katika mahali atakapopachagua Mwenyezi-Mungu katika mojawapo ya makabila yenu. Hapo ndipo mtakapotoa sadaka zenu za kuteketezwa, na ndipo mtakapofanyia mambo yote niliyowaamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila mahali pale pamoja tu, Bwana atakapopachagua katika moja lao mashina yako, ndipo papasapo, utolee hapo ng'ombe zako za tambiko za kuteketezwa nzima, tena ndipo papasapo, uyafanye yote, mimi ninayokuagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali katika mahali atakapopachagua BWANA katika kabila zako mojawapo, ndipo utakapotoa sadaka zako za kuteketezwa, ndipo utakapotenda yote nikuamuruyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini pahali ambapo Yawe atakapopachagua katika kabila moja kati ya makabila yenu, hapo ndipo pahali mutakapotolea sadaka zenu za kuteketezwa na ni hapo mutakapofanyia mambo mengine yote ambayo nimewaamuru mufanye.