Deuteronomy 12:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini msile damu ya wanyama hao; imwageni damu hiyo ardhini kama maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kamwe usile damu; imwage ardhini kama maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini msiile damu; imwageni juu ya nchi kama maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini msile damu ya wanyama hao; imwageni damu hiyo ardhini kama maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kamwe usinywe damu; imwage juu ya ardhi kama maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kamwe usinywe damu; imwage juu ya ardhi kama maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini msiile damu; imwageni juu ya nchi kama maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini msile damu ya wanyama hao; imwageni damu hiyo ardhini kama maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Damu tu msiile, ila mwimwage mchangani kama maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini msiile damu; imwageni juu ya nchi kama maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini musikule damu ya nyama hao; mumwange damu hiyo chini kama vile maji.