Deuteronomy 12:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia hakikisheni kwamba hamtawasahau Walawi muda wote mtakaoishi katika nchi yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwe waangalifu msiwapuuze Walawi kwa muda wote mnaoishi katika nchi yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jilinde nafsi yako usimwache Mlawi siku zote uishizo katika nchi yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia hakikisheni kwamba hamtawasahau Walawi muda wote mtakaoishi katika nchi yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwe waangalifu msiwapuuze Walawi kwa muda wote mnaoishi katika nchi yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwe waangalifu msiwapuuze Walawi kwa muda wote mnaoishi katika nchi yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jilinde nafsi yako usimpuuze Mlawi siku zote utakazoishi katika nchi yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia hakikisheni kwamba hamtawasahau Walawi muda wote mtakaoishi katika nchi yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jiangalie tu, usimwache Mlawi siku zote, utakazokuwapo katika nchi yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jilinde nafsi yako usimwache Mlawi siku zote uishizo katika nchi yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile muhakikishe kwamba hamutawasahau Walawi muda wote mutakaoishi katika inchi yenu.