Deuteronomy 12:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haribuni kabisa mahali pote ambapo watu wanaabudu miungu yao kwenye milima mirefu, vilima na chini ya miti yenye majani mabichi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haribuni kabisa kila mahali pao pa kuabudia kwenye milima mirefu, vilima na chini ya kila mti mkubwa ambamo mataifa haya mnayoenda kuchukua ardhi yao huabudia miungu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vunjeni kabisa mahali pote walipokuwa wakiitumikia miungu yao mataifa mtakayoyamiliki, juu ya milima mirefu, na juu ya vilima, na chini ya kila mti wenye majani mabichi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haribuni kabisa mahali pote ambapo watu wanaabudu miungu yao kwenye milima mirefu, vilima na chini ya miti yenye majani mabichi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haribuni kabisa kila mahali pao pa kuabudia kwenye milima mirefu, vilima na chini ya kila mti mkubwa ambamo mataifa haya mnayokwenda kuchukua ardhi yao huabudia miungu yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haribuni kabisa kila mahali pao pa kuabudia kwenye milima mirefu, vilima na chini ya kila mti mkubwa ambamo mataifa haya mnayokwenda kuchukua ardhi yao huabudia miungu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vunjeni kabisa mahali pote walipokuwa wakiitumikia miungu yao mataifa mtakayoyamiliki, juu ya milima mirefu, na juu ya vilima, na chini ya kila mti wenye majani mabichi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haribuni kabisa mahali pote ambapo watu wanaabudu miungu yao kwenye milima mirefu, vilima na chini ya miti yenye majani mabichi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti mpaangamize kabisa mahali pote, wamizimu mtakaowafukuza walipoitumikia miungu yao juu ya milima mirefu nako vilima, tena chini ya miti yenye majani mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vunjeni kabisa mahali pote walipokuwa wakiitumikia miungu yao mataifa mtakayoyamiliki, juu ya milima mirefu, na juu ya vilima, na chini ya kila mti wenye majani mabichi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muharibu kabisa pahali pote ambapo watu wanaabudia miungu yao kwenye milima mirefu, vilima na chini ya miti yenye majani mabichi.