Deuteronomy 12:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ila hakikisheni kwamba hamli damu, maana damu ni uhai; hivyo basi, msile uhai pamoja na nyama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hakikisheni kwamba hamkula damu, kwa sababu damu ni uhai, kamwe msile uhai pamoja na nyama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila ujihadhari kwamba usile damu, kwani ile damu ndiyo uhai; na uhai usile pamoja na nyama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ila hakikisheni kwamba hamli damu, maana damu ni uhai; hivyo basi, msile uhai pamoja na nyama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hakikisheni kwamba hamkunywa damu, kwa sababu damu ni uhai, kamwe msile uhai pamoja na nyama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hakikisheni kwamba hamkunywa damu, kwa sababu damu ni uhai, kamwe msile uhai pamoja na nyama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila ujihadhari kwamba usile damu, kwani ile damu ndiyo uhai; na uhai usile pamoja na nyama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ila hakikisheni kwamba hamli damu, maana damu ni uhai; hivyo basi, msile uhai pamoja na nyama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ushike mwiko huu tu, usile damu! Kwani damu ndiyo yenye roho, haifai ukiila roho pamoja na nyama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila ujihadhari kwamba usile damu, kwani ile damu ndiyo uhai; na uhai usile pamoja na nyama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini muhakikishe kwamba hamukuli damu, maana damu ni uzima. Hivyo basi, musikule uzima pamoja na nyama.