Deuteronomy 12:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msile damu hiyo, bali imwageni chini kama maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hamruhusiwi kamwe kula damu; imwageni ardhini kama maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiile; imwage juu ya nchi kama maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msile damu hiyo, bali imwageni chini kama maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hamruhusiwi kamwe kunywa damu; imwageni juu ya ardhi kama maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hamruhusiwi kamwe kunywa damu; imwageni juu ya ardhi kama maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiile; imwage juu ya nchi kama maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msile damu hiyo, bali imwageni chini kama maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo usiile, ila uimwage mchangani kama maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiile; imwage juu ya nchi kama maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikule damu hiyo, lakini muimwange chini kama vile maji.