Deuteronomy 12:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vitu vitakatifu mtakavyotoa na sadaka zenu za nadhiri, mtavichukua na kuvipeleka mahali Mwenyezi-Mungu atakapochagua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini vichukueni vitu vyenu vilivyowekwa wakfu pamoja na vile mlivyoweka nadhiri, mwende mahali pale Mwenyezi Mungu atakapopachagua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila vitu vyako vitakatifu ulivyo navyo, na nadhiri zako, uvitwae ukaende mahali atakapochagua Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vitu vitakatifu mtakavyotoa na sadaka zenu za nadhiri, mtavichukua na kuvipeleka mahali Mwenyezi-Mungu atakapochagua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini vichukueni vitu vyenu vilivyowekwa wakfu pamoja na vile mlivyoweka nadhiri, mwende mahali pale BWANA atakapopachagua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini vichukueni vitu vyenu vilivyowekwa wakfu pamoja na vile mlivyoweka nadhiri, mwende mahali pale bwana atakapopachagua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila vitu vyako vitakatifu ulivyo navyo, na nadhiri zako, uvitwae uende mahali atakapochagua BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vitu vitakatifu mtakavyotoa na sadaka zenu za nadhiri, mtavichukua na kuvipeleka mahali Mwenyezi-Mungu atakapochagua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni vipaji vyako vitakatifu tu na malipo yao, uliyoyaapa, ndiyo uyachukue kwenda mahali pake, Bwana atakapopachagua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila vitu vyako vitakatifu ulivyo navyo, na nadhiri zako, uvitwae ukaende mahali atakapochagua BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vitu vitakatifu mutakavyotoa na sadaka zenu za kutimiza kiapo, mutavitwaa na kuvipeleka pahali Yawe atakapochagua.