Deuteronomy 12:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo, mtatoa sadaka za kuteketezwa, nyama na damu, kwenye madhabahu ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; damu ya mnyama mtainyunyiza kwenye madhabahu yake Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, lakini mnaruhusiwa kula nyama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Leteni sadaka zenu za kuteketezwa juu ya madhabahu ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, vyote nyama na damu. Damu ya dhabihu zenu lazima imiminwe kando ya madhabahu ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, lakini nyama mnaweza kula.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe zisongeze sadaka zako za kuteketezwa, nyama na damu, juu ya madhabahu ya Bwana, Mungu wako; na damu ya dhabihu zako uimwage juu ya madhabahu ya Bwana, Mungu wako, na wewe utakula nyama yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo, mtatoa sadaka za kuteketezwa, nyama na damu, kwenye madhabahu ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; damu ya mnyama mtainyunyiza kwenye madhabahu yake Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, lakini mnaruhusiwa kula nyama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Leteni sadaka zenu za kuteketezwa juu ya madhabahu ya BWANA Mungu wenu, vyote nyama na damu. Damu ya dhabihu zenu lazima imiminwe kando ya madhabahu ya BWANA Mungu wenu, lakini nyama mnaweza kula.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Leteni sadaka zenu za kuteketezwa juu ya madhabahu ya bwana Mwenyezi Mungu wenu, vyote nyama na damu. Damu ya dhabihu zenu lazima imiminwe kando ya madhabahu ya bwana Mwenyezi Mungu wenu, lakini nyama mnaweza kula.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe zisongeze sadaka zako za kuteketezwa, nyama na damu, juu ya madhabahu ya BWANA, Mungu wako; na damu ya dhabihu zako uimwage juu ya madhabahu ya BWANA, Mungu wako, nawe utakula nyama yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo, mtatoa sadaka za kuteketezwa, nyama na damu, kwenye madhabahu ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; damu ya mnyama mtainyunyiza kwenye madhabahu yake Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, lakini mnaruhusiwa kula nyama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo pa kumtambikia Bwana Mungu wako ndipo papasapo, uzitoe ng'ombe zako za tambiko za kuteketezwa nzima, nyama pamoja na damu. Nazo damu za ng'ombe zako nyingine za tambiko sharti zimwagwe hapo pa kumtambikia Bwana Mungu wako, lakini nyama utazila.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe zisongeze sadaka zako za kuteketezwa, nyama na damu, juu ya madhabahu ya BWANA, Mungu wako; na damu ya dhabihu zako uimwage juu ya madhabahu ya BWANA, Mungu wako, na wewe utakula nyama yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo, mutatoa sadaka za kuteketezwa, nyama na damu, kwenye mazabahu ya Yawe, Mungu wenu. Damu ya nyama mutainyunyiza kwenye mazabahu ya Yawe Mungu wenu, lakini munaruhusiwa kula nyama.