Deuteronomy 12:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
jihadharini msijiingize mtegoni kwa kuyafuata baada ya kuangamizwa mbele yenu. Msijisumbue kujua kuhusu miungu yao, mkisema, ‘Mataifa haya yaliabuduje miungu yake? — ili nasi tuwaabudu vivyo hivyo’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na baada ya kuangamizwa mbele yenu, mwe waangalifu msijiingize katika tanzi kwa kuuliza habari za miungu yao, mkisema, “Je, mataifa haya hutumikiaje miungu yao? Nasi tutafanya vivyo hivyo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ujiangalie, usije ukanaswa ukawafuata, wakiisha kuangamizwa mbele yako; wala usije ukauliza habari za miungu yao, ukisema, Mataifa haya waitumikiaje miungu yao? Nami nifanye vivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
jihadharini msijiingize mtegoni kwa kuyafuata baada ya kuangamizwa mbele yenu. Msijisumbue kujua kuhusu miungu yao, mkisema, ‘Mataifa haya yaliabuduje miungu yake? — ili nasi tuwaabudu vivyo hivyo’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na baada ya kuangamizwa mbele yenu, mwe waangalifu msijiingize katika tanzi kwa kuuliza habari za miungu yao, mkisema, “Je, mataifa haya hutumikiaje miungu yao? Nasi tutafanya vivyo hivyo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na baada ya kuangamizwa mbele yenu, mwe waangalifu msijiingize katika tanzi kwa kuuliza habari za miungu yao, mkisema, “Je, mataifa haya hutumikiaje miungu yao? Nasi tutafanya vivyo hivyo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ujiangalie, usije ukanaswa ukawafuata, wakiisha kuangamizwa mbele yako; wala usije ukauliza habari za miungu yao, ukisema, Mataifa haya waitumikiaje miungu yao? Nami nifanye hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
jihadharini msijiingize mtegoni kwa kuyafuata baada ya kuangamizwa mbele yenu. Msijisumbue kujua kuhusu miungu yao, mkisema, ‘Mataifa haya yaliabuduje miungu yake? – ili nasi tuwaabudu vivyo hivyo’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
jiangalie, usinaswe, kwamba uwafuate wao, wakiisha kuangamizwa mbele yako, wala usiulizeulize habari za miungu yao kwamba: Hao wamizimu walivyoitumikia miungu yao, ndivyo, nitakavyofanya nami.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ujiangalie, usije ukanaswa ukawafuata, wakiisha kuangamizwa mbele yako; wala usije ukauliza habari za miungu yao, ukisema, Mataifa haya waitumikiaje miungu yao? Nami nifanye vivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakapokwisha kuyaangamiza mbele yenu, mufanye angalisho musijiingize katika mutego kwa kuyafuata. Musijisumbue kujua kitu juu ya miungu yao, mukisema: ‘Mataifa haya yaliabudu namna gani miungu yake kusudi nasi tuwaabudu vile vile?’