Deuteronomy 12:32 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hakikisheni kwamba mmefanya kila kitu nilichowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakikisheni kwamba mnafanya yote niliyowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno niwaagizalo lo lote liangalieni kulifanya; usiliongeze, wala usilipunguze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hakikisheni kwamba mmefanya kila kitu nilichowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Angalieni kwamba mnafanya yote niliyowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Angalieni kwamba mnafanya yote niliyowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno lolote ninalowaagiza lizingatieni, usilizidishe, wala usilipunguze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hakikisheni kwamba mmefanya kila kitu nilichowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maneno haya yote, mimi ninayowaagiza ninyi, sharti myaangalie, myafanye. Msiyaongeze, wala msiyapunguze!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno niwaagizalo lo lote liangalieni kulifanya; usiliongeze, wala usilipunguze.