Deuteronomy 12:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wala msimwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, namna hiyo yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamwe msimwabudu Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kama wanavyoabudu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala msimfanyie hivyo Bwana, Mungu wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wala msimwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, namna hiyo yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamwe msimwabudu BWANA Mungu wenu kama wanavyoabudu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamwe msimwabudu bwana Mwenyezi Mungu wenu kama wanavyoabudu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala msimfanyie hivyo BWANA, Mungu wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wala msimwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, namna hiyo yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu wenu msimfanyizie hivyo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala msimfanyie hivyo BWANA, Mungu wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Wala musimwabudu Yawe, Mungu wenu, namna hiyo yao.