Deuteronomy 12:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko mtapeleka tambiko zenu za kuteketezwa na sadaka zenu, zaka zenu za matoleo yenu, sadaka zenu za nadhiri, matoleo yenu ya hiari na wazaliwa wa kwanza wa ng'ombe na kondoo wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hapo ndipo mtakapoleta sadaka zenu za kuteketezwa na dhabihu, zaka zenu na changizo zenu, kile ulichoweka nadhiri kutoa, sadaka zenu za hiari na wazaliwa wa kwanza wa makundi yenu ya ng’ombe, na ya mbuzi na kondoo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
pelekeni huko sadaka zenu za kuteketezwa, na dhabihu zenu, na zaka zenu, na sadaka ya kuinuliwa ya mikono yenu, na nadhiri zenu, na sadaka zenu za hiari, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yenu ya ng'ombe na ya kondoo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko mtapeleka tambiko zenu za kuteketezwa na sadaka zenu, zaka zenu za matoleo yenu, sadaka zenu za nadhiri, matoleo yenu ya hiari na wazaliwa wa kwanza wa ng'ombe na kondoo wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hapo ndipo mtakapoleta sadaka zenu za kuteketezwa na dhabihu, zaka zenu na changizo zenu, kile ulichoweka nadhiri kutoa, sadaka zenu za hiari na malimbuko ya makundi yenu ya ng'ombe pamoja na mbuzi na kondoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hapo ndipo mtakapoleta sadaka zenu za kuteketezwa na dhabihu, zaka zenu na changizo zenu, kile ulichoweka nadhiri kutoa, sadaka zenu za hiari na malimbuko ya makundi yenu ya ng’ombe pamoja na mbuzi na kondoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
pelekeni huko sadaka zenu za kuteketezwa, na dhabihu zenu, na zaka zenu, na sadaka ya kuinuliwa ya mikono yenu, na nadhiri zenu, na sadaka zenu za hiari, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yenu ya ng'ombe na ya kondoo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko mtapeleka tambiko zenu za kuteketezwa na sadaka zenu, zaka zenu za matoleo yenu, sadaka zenu za nadhiri, matoleo yenu ya hiari na wazaliwa wa kwanza wa ng'ombe na kondoo wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena ndipo papasapo, mpapeleke ng'ombe zenu za tambiko za kuteketezwa nzima na ng'ombe zenu nyingine za tambiko na mafungu yenu ya kumi na vipaji vya mikono yenu vya tambiko vya kunyanyuliwa na matoleo ya kuyalipa mliyoyaapa na matoleo yenu, mtakayoyatoa kwa kupenda wenyewe, na wana wenu wa kwanza wa ng'ombe na wa mbuzi na wa kondoo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
pelekeni huko sadaka zenu za kuteketezwa, na dhabihu zenu, na zaka zenu, na sadaka ya kuinuliwa ya mikono yenu, na nadhiri zenu, na sadaka zenu za hiari, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yenu ya ng’ombe na ya kondoo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile huko mutapeleka sadaka zenu za kuteketezwa kwa moto na sadaka zingine, sehemu ya kumi za mazao yenu, matoleo yenu ya mapenzi na ya kutimiza kiapo, na wazaliwa wa kwanza wa ngombe na kondoo wenu.