Deuteronomy 12:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Msifanye kama tunavyofanya sasa, kila mtu kama apendavyo mwenyewe;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifanye kama tunavyofanya hapa leo, kila mtu anavyopenda mwenyewe,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifanye kwa kufuata mambo yote tuyafanyayo hapa leo, kila mtu kama aonavyo vema machoni pake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Msifanye kama tunavyofanya sasa, kila mtu kama apendavyo mwenyewe;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifanye kama tunavyofanya hapa leo, kila mtu anavyopenda mwenyewe,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifanye kama tunavyofanya hapa leo, kila mtu anavyopenda mwenyewe,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifanye kwa kufuata mambo yote tuyafanyayo hapa leo, kila mtu kama apendavyo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Msifanye kama tunavyofanya sasa, kila mtu kama apendavyo mwenyewe;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiyafanye haya yote, tunayoyafanya sisi leo huku, kila mtu akiyafanya yanyokayo machoni pake yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifanye kwa kufuata mambo yote tuyafanyayo hapa leo, kila mtu kama aonavyo vema machoni pake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Musifanye kama vile tunavyofanya sasa, kila mutu kama vile anavyopenda mwenyewe;