Deuteronomy 12:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa sababu bado hamjaingia mahali pa kupumzikia na katika urithi anaowapeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa bado hamjafikia mahali pa mapumziko na urithi ambao Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwani hamjafikilia bado katika raha na urithi akupao Bwana, Mungu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa sababu bado hamjaingia mahali pa kupumzikia na katika urithi anaowapeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa bado hamjafikia mahali pa mapumziko na urithi ambao BWANA Mungu wenu anawapa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa bado hamjafikia mahali pa mapumziko na urithi ambao bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwani hamjafikia bado katika raha na urithi akupao BWANA, Mungu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa sababu bado hamjaingia mahali pa kupumzikia na katika urithi anaowapeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hamjaingia bado kwenye kituo wala katika nchi, Bwana Mungu wako atakayokupa, iwe yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwani hamjafikilia bado katika raha na urithi akupao BWANA, Mungu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu bado hamujaingia pahali pa kupumzikia na katika urizi Yawe, Mungu wenu, anaowapa.