Deuteronomy 13:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpigeni mawe mpaka afe! Kwa sababu amejaribu kukuvutia mbali na Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, aliyekutoa utumwani nchini Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpigeni kwa mawe hadi afe, kwa sababu alijaribu kuwageuza mtoke kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ambaye aliwatoa Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na Bwana, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpigeni mawe mpaka afe! Kwa sababu amejaribu kukuvutia mbali na Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, aliyekutoa utumwani nchini Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpigeni kwa mawe mpaka afe, kwa sababu alijaribu kuwageuza mtoke kwa BWANA Mungu wenu ambaye aliwatoa Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpigeni kwa mawe mpaka afe, kwa sababu alijaribu kuwageuza mtoke kwa bwana Mwenyezi Mungu wenu ambaye aliwatoa Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na BWANA, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpigeni mawe mpaka afe! Kwa sababu amejaribu kukuvutia mbali na Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, aliyekutoa utumwani nchini Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti umpige mawe, hata afe! Kwani alijaribu kukudanganya, umwache Bwana Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri nyumbani ulimokuwa mtumwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na BWANA, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini utamwua. Mukono wako unapaswa ukuwe wa kwanza wakati wa kumwua halafu wengine wote watafuata vilevile.