Deuteronomy 13:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtakapoishi katika miji ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapa, huenda mkasikia
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkisikia ikisemwa kwamba moja ya miji ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa mkae ndani yake
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukisikia yasemwa habari ya miji yako mmojawapo, akupayo Bwana, Mungu wako, ukae humo, ukiambiwa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtakapoishi katika miji ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapa, huenda mkasikia
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mkisikia ikisemwa kwamba moja ya miji ambayo BWANA Mungu wenu anawapa mkae ndani yake
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mkisikia ikisemwa kwamba moja ya miji ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa mkae ndani yake
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukisikia yasemwa habari ya miji yako mmojawapo, akupayo BWANA, Mungu wako, ukae humo, ukiambiwa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtakapoishi katika miji ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapa, huenda mkasikia
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, upate habari ya mmojawapo katika miji yako, Bwana Mungu wako atakayokupa ya kukaa humo, kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukisikia yasemwa habari ya miji yako mmojawapo, akupayo BWANA, Mungu wako, ukae humo, ukiambiwa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, Waisraeli wote watasikia na kuogopa, na hawatafanya uovu kama huo hata kidogo.