Deuteronomy 13:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hamna budi kuwaua kwa upanga watu wa mji huo; mtauangamiza kabisa mji huo na kuwaua ng'ombe wote kwa upanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa hakika ni lazima mwaue kwa upanga wale wote wanaoishi katika mji ule. Uharibuni kabisa, pamoja na watu wake na mifugo yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hakika yako uwapige wenyeji wa mji ule kwa makali ya upanga, kwa kuwaangamiza kabisa, pamoja na vitu vyote vilivyomo, na wanyama walio humo, kwa makali ya upanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hamna budi kuwaua kwa upanga watu wa mji huo; mtauangamiza kabisa mji huo na kuwaua ng'ombe wote kwa upanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa hakika ni lazima muwaue kwa upanga wale wote wanoishi katika mji ule. Uharibuni kabisa, pamoja na watu wake na mifugo yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa hakika ni lazima mwaue kwa upanga wale wote wanaoishi katika mji ule. Uharibuni kabisa, pamoja na watu wake na mifugo yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hakika yako uwapige wenyeji wa mji ule kwa makali ya upanga, kwa kuwaangamiza kabisa, pamoja na vitu vyote vilivyomo, na wanyama walio humo, kwa makali ya upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hamna budi kuwaua kwa upanga watu wa mji huo; mtauangamiza kabisa mji huo na kuwaua ng'ombe wote kwa upanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
huna budi kuwapiga wenyeji wa mji huo kwa ukali wa upanga na kuutia huo mji pamoja nayo yote yaliyomo mwiko wa kuwapo, nao nyama wao wa kufuga sharti uwaue kwa ukali wa upanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hakika yako uwapige wenyeji wa mji ule kwa makali ya upanga, kwa kuwaangamiza kabisa, pamoja na vitu vyote vilivyomo, na wanyama walio humo, kwa makali ya upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi mutapeleleza na kufanya uchunguzi na kuuliza kwa uangalifu. Na kama ni kweli kwamba jambo la kuchukiza limetendeka kati yenu,