Deuteronomy 13:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtakusanya nyara zake zote katika uwanja wa hadhara wa mji na kuzichoma kwa moto kama sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana Mungu wenu; mji huo utakuwa rundo la magofu milele, nao hautajengwa tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kusanyeni nyara zote za mji katika uwanja wa wazi na kuuchoma mji kabisa pamoja na nyara zake zote kuwa sadaka ya kuteketezwa kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu. Utabaki kuwa magofu milele na hautajengwa tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nyara zake zote uzikusanyie katikati ya njia yake; na mji uuteketeze kwa moto, na nyara zake zote, kuwe sadaka kamili ya kuteketezwa kwa Bwana, Mungu wako; nao utakuwa magofu milele; usijengwe tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtakusanya nyara zake zote katika uwanja wa hadhara wa mji na kuzichoma kwa moto kama sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana Mungu wenu; mji huo utakuwa rundo la magofu milele, nao hautajengwa tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kusanyeni nyara zote za mji katika uwanja wa wazi na kuuchoma mji kabisa pamoja na nyara zake zote kama sadaka ya kuteketezwa kwa BWANA Mungu wenu. Utabaki kuwa magofu milele na hautajengwa tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kusanyeni nyara zote za mji katika uwanja wa wazi na kuuchoma mji kabisa pamoja na nyara zake zote kama sadaka ya kuteketezwa kwa bwana Mwenyezi Mungu wenu. Utabaki kuwa magofu milele na hautajengwa tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nyara zake zote uzikusanyie katikati ya njia yake; na mji uuteketeze kwa moto, na nyara zake zote, kuwe sadaka kamili ya kuteketezwa kwa BWANA, Mungu wako; nao utakuwa magofu milele; usijengwe tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtakusanya nyara zake zote katika uwanja wa hadhara wa mji na kuzichoma kwa moto kama sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana Mungu wenu; mji huo utakuwa rundo la magofu milele, nao hautajengwa tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na uyakusanye mateka yote katikati ya uwanja wake, uuteketeze huo mji kwa moto pamoja na amteka yake yote kuwa ng'ombe ya tambiko ya Bwana Mungu wako ya kuteketezwa yote nzima, uwe chungu ya majivu kale na kale, usijengwe tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nyara zake zote uzikusanyie katikati ya njia yake; na mji uuteketeze kwa moto, na nyara zake zote, kuwe sadaka kamili ya kuteketezwa kwa BWANA, Mungu wako; nao utakuwa magofu milele; usijengwe tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hakika mutawaua kwa upanga watu wa muji huo. Mutauteketeza kwa upanga kabisa na ngombe wote vilevile.