Deuteronomy 13:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nabii huyo au mtabiri wa ndoto atauawa, kwa sababu atakuwa amewafundisha uasi dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri na kuwakomboa kutoka utumwani, ili muiache njia ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliwaamuru muifuatea. Hivyo ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyo nabii au mwota ndoto lazima auawe, kwa sababu amehubiri uasi dhidi ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ambaye aliwatoa kutoka nchi ya Misri na kuwakomboa kutoka nchi ya utumwa; amejaribu kuwageuza kutoka njia ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, aliwaagiza mfuate. Ni lazima mwondoe uovu miongoni mwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe, kwa kuwa amesema yaliyopotoka juu ya Bwana, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, akakukomboa katika nyumba ya utumwa, apate yule mtu kukupotoa katika njia aliyokuamuru Bwana, Mungu wako, uiendee. Ndivyo utakavyouondoa uovu utoke katikati yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nabii huyo au mtabiri wa ndoto atauawa, kwa sababu atakuwa amewafundisha uasi dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri na kuwakomboa kutoka utumwani, ili muiache njia ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliwaamuru muifuatea. Hivyo ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huyo nabii au mwota ndoto lazima auawe, kwa sababu amehubiri uasi dhidi ya BWANA Mungu wenu, ambaye aliwatoa kutoka nchi ya Misri na kuwakomboa kutoka nchi ya utumwa; amejaribu kuwageuza kutoka njia ambayo BWANA Mungu wenu aliwaagiza mfuate. Ni lazima mwondoe uovu miongoni mwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyo nabii au mwota ndoto lazima auawe, kwa sababu amehubiri uasi dhidi ya bwana Mwenyezi Mungu wenu, ambaye aliwatoa kutoka nchi ya Misri na kuwakomboa kutoka nchi ya utumwa; amejaribu kuwageuza kutoka njia ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu aliwaagiza mfuate. Ni lazima mwondoe uovu miongoni mwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe, kwa kuwa amesema yaliyopotoka juu ya BWANA, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, akakukomboa katika nyumba ya utumwa, apate yule mtu kukupotoa katika njia aliyokuamuru BWANA, Mungu wako, uiendee. Ndivyo utakavyouondoa uovu utoke katikati yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nabii huyo au mtabiri wa ndoto atauawa, kwa sababu atakuwa amewafundisha uasi dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri na kuwakomboa kutoka utumwani, ili muiache njia ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliwaamuru muifuatea. Hivyo ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yule mfumbuaji au yule mwota ndoto sharti auawe, kwa kuwa amesema, mmwache Bwana Mungu wenu aliyewatoa ninyi katika nchi ya Misri na kuwakomboa nyumbani, mlimokuwa watumwa; naye yule alitaka kukudanganya, uondoke katika hiyo njia, Bwana Mungu wako aliyokuagiza kuishika. Hivyo ndivyo, utakavyouondoa ubaya huo katikati yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe, kwa kuwa amesema yaliyopotoka juu ya BWANA, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, akakukomboa katika nyumba ya utumwa, apate yule mtu kukupotoa katika njia aliyokuamuru BWANA, Mungu wako, uiendee. Ndivyo utakavyouondoa uovu utoke katikati yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufuate na kumwogopa Yawe, Mungu wenu, na kushika amri zake na kutii sauti yake. Mumutumikie na kuambatana naye.