Deuteronomy 13:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
usikubali kushawishiwa, wala usimsikilize au kumhurumia, wala usimwachilie wala kumficha;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
usikubali wala usimsikilize. Usimhurumie! Usimwache wala usimkinge.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
usikubali kushawishiwa, wala usimsikilize au kumhurumia, wala usimwachilie wala kumficha;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
usikubali wala usimsikilize. Usimhurumie! Usimwache wala usimkinge.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
usikubali wala usimsikilize. Usimhurumie! Usimwache wala usimkinge.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
usikubali kushawishiwa, wala usimsikilize au kumhurumia, wala usimwachilie wala kumficha;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi itakapokuwa hivyo, usimwitikie, wala usimsikie, jicho lako lisimwonee machungu, usimhurumie, wala usimfiche,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
miungu ya watu wanaoishi karibu nanyi au miungu ya watu wanaoishi mbali tokea incha moja ya dunia mpaka incha nyingine,
Recommended Reading