Deuteronomy 13:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
bali utamuua. Wewe utakuwa wa kwanza kuchukua hatua ya kumuua, kisha watu wengine wote watafuata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika ni lazima auawe. Ni lazima mkono wako uwe wa kwanza katika kumuua kisha mikono ya watu wengine wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
bali utamuua. Wewe utakuwa wa kwanza kuchukua hatua ya kumuua, kisha watu wengine wote watafuata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika ni lazima auawe. Ni lazima mkono wako uwe wa kwanza katika kumwua kisha mikono ya watu wengine wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika ni lazima auawe. Ni lazima mkono wako uwe wa kwanza katika kumuua kisha mikono ya watu wengine wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
bali utamuua. Wewe utakuwa wa kwanza kuchukua hatua ya kumuua, kisha watu wengine wote watafuata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila mwue kabisa! Mkono wako sharti uwe wa kwanza wa kumua, kisha mikono yao watu wote na ifuate.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
usikubali kushawishiwa wala kumusikiliza, au kumuhurumia wala usimwachilie wala usimufiche;