Deuteronomy 14:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nyinyi ni watoto wa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; msijichanje wala kunyoa upara kwa ajili ya mtu aliyefariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi ni watoto wa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu. Msijichanje ama kujinyoa upara kwenye paji la uso kwa ajili ya aliyekufa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ninyi mmekuwa wana wa Bwana, Mungu wenu; msijitoje miili yenu, wala msifanye upaa katikati ya macho yenu kwa ajili ya aliyekufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nyinyi ni watoto wa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; msijichanje wala kunyoa upara kwa ajili ya mtu aliyefariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi ni watoto wa BWANA Mungu wenu. Msijichanje ama kujinyoa upara kwenye paji la uso kwa ajili ya aliyekufa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi ni watoto wa bwana Mwenyezi Mungu wenu. Msijichanje ama kujinyoa upara kwenye paji la uso kwa ajili ya aliyekufa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ninyi mmekuwa wana wa BWANA, Mungu wenu; msijitoje miili yenu, wala msifanye upaa katikati ya macho yenu kwa ajili ya aliyekufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nyinyi ni watoto wa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; msijichanje wala kunyoa upara kwa ajili ya mtu aliyefariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi m watoto wake Bwana Mungu wenu; kwa hiyo msijichanje chale, wala msizinyoe nyushi katikati ya macho yenu kwa ajili ya mfu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ninyi mmekuwa wana wa BWANA, Mungu wenu; msijitoje miili yenu, wala msifanye upaa katikati ya macho yenu kwa ajili ya aliyekufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ninyi ni watoto wa Yawe, Mungu wenu; musijichanje wala kunyoa nywele upande wa mbele kwa ajili ya mutu aliyekufa.