Deuteronomy 14:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kiumbe chochote kinachoishi majini kisicho na mapezi wala magamba msile; hivyo ni najisi kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini chochote kisicho na mapezi na magamba msile; kwenu ni najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kila kisichokuwa na mapezi na magamba msile; ni najisi kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kiumbe chochote kinachoishi majini kisicho na mapezi wala magamba msile; hivyo ni najisi kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini cho chote kisicho na mapezi na magamba msile; kwenu ni najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini chochote kisicho na mapezi na magamba msile; kwenu ni najisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kila kisichokuwa na mapezi na magamba msile; ni najisi kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kiumbe chochote kinachoishi majini kisicho na mapezi wala magamba msile; hivyo ni najisi kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini wote wasio wenye mapezi na magamba msiwale! ni mwiko kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kila kisichokuwa na mapezi na magamba msile; ni najisi kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kiumbe chochote kinachoishi ndani ya maji kisichokuwa na mapezi wala magamba musikule; hivyo ni vichafu kwenu.