Deuteronomy 14:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mnaweza kula ndege wote walio safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnaweza kula ndege yeyote aliye safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mna ruhusa kula katika nyuni wote walio safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mnaweza kula ndege wote walio safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mnaweza kula ndege ye yote aliye safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnaweza kula ndege yeyote aliye safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mna ruhusa kula katika ndege wote walio safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mnaweza kula ndege wote walio safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila ndege mwenye kutakata mtakula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mna ruhusa kula katika nyuni wote walio safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Munaweza kula ndege wote wanaokuwa safi.