Deuteronomy 14:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini msile ndege wafuatao: Furukombe, kipungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wafuatao msiwale: tai, furukombe, kipungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hawa msiwale; tai, na furukombe, na kipungu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini msile ndege wafuatao: furukombe, kipungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wafuatao msiwale: tai, kipungu, kipungu mweusi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wafuatao msiwale: tai, furukombe, kipungu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hawa msiwale; tai, na furukombe, na kipungu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini msile ndege wafuatao: Furukombe, kipungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wao, mtakaoacha kula nyama zao, ni hawa: kozi na pungu na furukombe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hawa msiwale; tai, na furukombe, na kipungu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini musikule ndege hawa: furukombe, kipungu,