Deuteronomy 14:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kengewa, kozi, mwewe kwa aina zake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kengewa mwekundu, kengewa mweusi, mwewe wa aina yoyote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kengewa, na kozi, na mwewe kwa aina zake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kengewa, kozi, mwewe kwa aina zake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kengewa mwekundu, kengewa mweusi, mwewe wa aina yo yote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kengewa mwekundu, kengewa mweusi, mwewe wa aina yoyote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kengewa, na kozi, na mwewe kwa aina zake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kengewa, kozi, mwewe kwa aina zake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na tumbuzi na mwewe na ngusu na ndugu zake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kengewa, na kozi, na mwewe kwa aina zake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kengewa, kozi, mwewe na aina zake,