Deuteronomy 14:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Toeni sehemu moja ya kumi ya mazao yenu yote ya shambani kila mwaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakikisheni mmetenga sehemu ya kumi ya mazao yote ya mashamba yenu kila mwaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Toeni sehemu moja ya kumi ya mazao yenu yote ya shambani kila mwaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakikisheni mmetenga sehemu ya kumi ya mazao yote ya mashamba yenu kila mwaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakikisheni mmetenga sehemu ya kumi ya mazao yote ya mashamba yenu kila mwaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika mavuno yote ya mbegu zako, yatokayo shambani mwaka baada ya mwaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Toeni sehemu moja ya kumi ya mazao yenu yote ya shambani kila mwaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwaka kwa mwaka sharti utoe fungu la kumi la mapato yote ya mbegu zako zitakazotoka shambani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mutoe sehemu ya kumi ya mazao yenu yote ya shamba kila mwaka.