Deuteronomy 14:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Uzeni mazao yenu na kuchukua fedha hiyo mpaka mahali Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alipopachagua,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi badilisheni zaka yenu kuwa fedha, mkaichukue hiyo fedha mwende nayo mahali Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, atakapopachagua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua Bwana, Mungu wako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Uzeni mazao yenu na kuchukua fedha hiyo mpaka mahali Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alipopachagua,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi badilisheni zaka yenu kuwa fedha, mkaichukue hiyo fedha mwende nayo mahali BWANA Mungu wenu atakapopachagua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi badilisheni zaka yenu kuwa fedha, mkaichukue hiyo fedha mwende nayo mahali bwana Mwenyezi Mungu wenu atakapopachagua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Uzeni mazao yenu na kuchukua fedha hiyo mpaka mahali Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alipopachagua,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
yale matoleo yageuze kuwa fedha, kisha hizo fedha zifunge mkononi mwako, upate kwenda nazo mahali pale, Bwana Mungu wako atakapopachagua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Muuzishe mazao yenu na kupeleka feza hiyo mpaka pahali Yawe, Mungu wenu, alipochagua,