Deuteronomy 14:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiwasahau Walawi wanaoishi miongoni mwenu; wao hawana fungu wala urithi wao kati yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiache kuwajali Walawi wanaoishi katika miji yenu, kwa kuwa hao hawana shamba wala urithi wao wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Mlawi aliye ndani ya malango yako usimwache, kwani hana fungu wala urithi pamoja nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiwasahau Walawi wanaoishi miongoni mwenu; wao hawana fungu wala urithi wao kati yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiache kuwajali Walawi waishio katika miji yenu, kwa kuwa hao hawana shamba wala urithi wao wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiache kuwajali Walawi waishio katika miji yenu, kwa kuwa hao hawana shamba wala urithi wao wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Mlawi aliye ndani ya malango yako usimwache, kwani hana fungu wala urithi pamoja nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiwasahau Walawi wanaoishi miongoni mwenu; wao hawana fungu wala urithi wao kati yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mlawi atakayekuwapo malangoni pako usimwache, kwani hana fungu la nchi kwako lililo lake mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Mlawi aliye ndani ya malango yako usimwache, kwani hana fungu wala urithi pamoja nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Musiwasahau Walawi wanaoishi kati yenu; wao hawana fungu wala urizi wao kati yenu.