Deuteronomy 14:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na kila mwisho wa mwaka wa tatu toeni zaka ya mazao yenu yote na kuyaweka akiba katika miji yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwishoni mwa kila mwaka wa tatu, leteni zaka zote za mazao ya miaka ile na uyahifadhi kwenye miji yenu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila mwaka wa tatu, mwisho wake, toa fungu la kumi lote la maongeo yako ya mwaka huo, uliweke ndani ya malango yako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na kila mwisho wa mwaka wa tatu toeni zaka ya mazao yenu yote na kuyaweka akiba katika miji yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwishoni mwa kila mwaka wa tatu, leteni zaka zote za mazao ya miaka ile na uyahifadhi kwenye miji yenu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwishoni mwa kila mwaka wa tatu, leteni zaka zote za mazao ya miaka ile na uyahifadhi kwenye miji yenu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila mwaka wa tatu, mwisho wake, toa fungu la kumi lote la mavuno yako ya mwaka huo, uliweke ndani ya malango yako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na kila mwisho wa mwaka wa tatu toeni zaka ya mazao yenu yote na kuyaweka akiba katika miji yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miaka mitatu itakapopita, mafungu yote ya kumi utakayoyatolea mapato yako ya mwaka huo, uyaweke malangoni pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila mwaka wa tatu, mwisho wake, toa fungu la kumi lote la maongeo yako ya mwaka huo, uliweke ndani ya malango yako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mwisho wa mwaka wa tatu mutoe sehemu ya kumi ya mazao yenu yote na kuyaweka akiba katika miji yenu.