Deuteronomy 14:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnaweza kula wanyama wafuatao: Ng'ombe, kondoo, mbuzi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa ndio wanyama mtakaokula: ng’ombe, kondoo, mbuzi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanyama mtakaokula ni hawa ng'ombe, na kondoo, na mbuzi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnaweza kula wanyama wafuatao: ng'ombe, kondoo, mbuzi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio wanyama mtakaokula: ng'ombe, kondoo, mbuzi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio wanyama mtakaokula: ng’ombe, kondoo, mbuzi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanyama mtakaokula ni hawa ng'ombe, na kondoo, na mbuzi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnaweza kula wanyama wafuatao: Ng'ombe, kondoo, mbuzi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa ndio nyama, mtakaowala: ng'ombe, kondoo na mbuzi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanyama mtakaokula ni hawa ng’ombe, na kondoo, na mbuzi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munaweza kula nyama hawa: ngombe, kondoo, mbuzi,