Deuteronomy 14:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kila mnyama mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na mwenye kucheua, huyo mnaweza kula.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnaweza kumla mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika mara mbili, pia yule anayecheua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato, ukapasuka ukwato wake zikawa mbili, naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena, katika wanyama wote, ndiye mnyama mtakayemla.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kila mnyama mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na mwenye kucheua, huyo mnaweza kula.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mnaweza kumla mnyama ye yote mwenye kwato zilizogawanyika mara mbili, pia yule anayecheua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnaweza kumla mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika mara mbili, pia yule anayecheua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato, ukapasuka ukwato wake zikawa mbili, naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena, katika wanyama wote, ndiye mnyama mtakayemla.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kila mnyama mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na mwenye kucheua, huyo mnaweza kula.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyama wote wenye kwato zilizopasuka na kutengeka kabisa kuwa kwato mbili, kama ni wenye kucheua, ndio, mtakaowala miongoni mwa nyama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato, ukapasuka ukwato wake zikawa mbili, naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena, katika wanyama wote, ndiye mnyama mtakayemla.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kila nyama mwenye kwato zinazogawanyika sehemu mbili na mwenye kucheua.