Deuteronomy 14:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia msile nguruwe, maana ijapokuwa kwato zake zimegawanyika sehemu mbili, yeye hacheui; hao ni najisi kwenu, msile nyama zao wala msiguse mizoga yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nguruwe pia ni najisi; ingawa ana kwato zilizogawanyika, hacheui. Msile nyama yake wala kugusa mzoga wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia msile nguruwe, maana ijapokuwa kwato zake zimegawanyika sehemu mbili, yeye hacheui; hao ni najisi kwenu, msile nyama zao wala msiguse mizoga yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nguruwe pia ni najisi; ingawa ana kwato zilizogawanyika, hacheui. Msile nyama yake wala kugusa mzoga wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nguruwe pia ni najisi; ingawa ana kwato zilizogawanyika, hacheui. Msile nyama yake wala kugusa mzoga wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia msile nguruwe, maana ijapokuwa kwato zake zimegawanyika sehemu mbili, yeye hacheui; hao ni najisi kwenu, msile nyama zao wala msiguse mizoga yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye nguruwe, kweli anayapasua makwato, lakini hacheui; kwa hiyo ni mwiko kwenu. Nyama zao hao msizile, nayo mizoga yao msiiguse.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile musikule nguruwe, maana ijapokuwa kwato zake zinagawanyika sehemu mbili, yeye hacheui; hao ni wachafu kwenu. Musikule nyama zao wala musiguse mizoga yao.