Deuteronomy 15:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama nduguyo Mwebrania, mwanamume au mwanamke, akiuzwa kwako, atakutumikia kwa miaka sita, lakini katika mwaka wa saba, utamwacha huru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama Mwebrania mwenzako, mwanaume au mwanamke, akijiuza kwako na kukutumikia miaka sita, katika mwaka wa saba ni lazima umwache aende zake akiwa huru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa nduguyo, mume wa Kiebrania, au mwanamke wa Kiebrania, akiuzwa kwako, naye amekutumikia miaka sita; basi mwaka wa saba mwache huru aondoke kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama nduguyo Mwebrania, mwanamume au mwanamke, akiuzwa kwako, atakutumikia kwa miaka sita, lakini katika mwaka wa saba, utamwacha huru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama Mwebrania mwenzako, mwanaume au mwanamke, akijiuza kwako na kukutumikia miaka sita, katika mwaka wa saba ni lazima umwache aende zake akiwa huru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama Mwebrania mwenzako, mwanaume au mwanamke, akijiuza kwako na kukutumikia miaka sita, katika mwaka wa saba ni lazima umwache aende zake akiwa huru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa nduguyo, mwanaume wa Kiebrania, au mwanamke wa Kiebrania, akiuzwa kwako, naye amekutumikia miaka sita; basi mwaka wa saba mwache huru aondoke kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama nduguyo Mwebrania, mwanamume au mwanamke, akiuzwa kwako, atakutumikia kwa miaka sita, lakini katika mwaka wa saba, utamwacha huru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu yako mume au mke wa Kiebureo akijiuza kwako, akakutumikia miaka sita, sharti umwache katika mwaka wa saba, atoke kwako kuwa mwungwana tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa nduguyo, mume wa Kiebrania, au mwanamke wa Kiebrania, akiuzwa kwako, naye amekutumikia miaka sita; basi mwaka wa saba mwache huru aondoke kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kama ndugu Mwebrania, mwanaume au mwanamuke, akiuzishwa kwako, atakutumikia kwa miaka sita, lakini katika mwaka wa saba, utamwacha huru.